The House of Favourite Newspapers

Rais wa Ujerumani Frank-Walter Stainmeier Alivyotua Nchini Kwa Ziara Ya Kikazi – Picha

0

Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani, Frank-Walter Steinmeier amewasili nchini Oktoba 30, 2023 kwa ziara ya kikazi ya siku tatu (3) kuanzia tarehe 30 Oktoba hadi 1 Novemba 2023, na kupokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Y. Makamba (Mb.) katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

 

Leave A Reply