The House of Favourite Newspapers

Rais wa Zamani wa Burundi Ahukumiwa Maisha Jela

0


Rais wa zamani wa Burundi, Pierre Buyoya amehukumiwa na mahakama kuu ya nchi hiyo kifungo cha maisha jela baada ya kukutwa na hatia ya kupanga mauaji ya raisi wa kwanza wa Kidemokrasia wa nchi hiyo, Melchoir Ndadaye, Oktoba 21, 1993.

Mauaji ya Ndadaye, yaliingiza nchi ya Burundi katika mauaji ya halaiki na vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyomalizika mwaka 2005 na kusababisha vifo vya zaidi ya watu laki tatu.

Leave A Reply