The House of Favourite Newspapers

Rasmi: De Gea Aondoka Manchester United Baada ya Miaka 12

0
David de Gea

Kipa David de Gea (32) anaondoka Manchester United baada ya kuitumikia Klabu hiyo kwa Miaka 12 ambapo Mkataba wake wa kukaa Old Trafford umemalizika mwishoni mwa Mwezi Juni 2023

Awali, iliripotiwa kuwa Mashetani Wekundu wamekubaliana Mkataba mpya na Kipa huyo, kabla ya kuachilia mbali makubaliano hayo na kuanza kufuatilia uwezekano wa kusajili Kipa wa Inter Milan, André Onana

Tangu ajiunge Man Utd akitokea Atlético Madrid mwaka 2011, De Gea amecheza Michezo 545 na kutoruhusu magoli katika Michezo 190. Ameshinda Ligi Kuu England, Kombe la FA, Ligi ya Europa na Vikombe viwili vya Carabao.

KORUMBA wa GLOBAL TV ALIVYOMBANA MSEMAJI MKUU wa SERIKALI KUHUSU BANDARI na TOZO za SIMU…

Leave A Reply