The House of Favourite Newspapers

RC Mwanri Azama Kuzima Moto Ukiteketeza Nyumba – Video

Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri ameshirikiana na Wananchi wa eneo la Bachu Manispaa ya Tabora, Katika harakati za kuinusuru nyumba moja iliyokuwa ikiteketea kwa moto, jana Jumapili, Oktoba 27, 2019, majira ya saa 9 alasiri.

 

Imeelezwa kuwa, nyumba hiyo ni ya Diwani wa Kata ya Gongoni, Kessy Sharifu Abdulhaman ambayo chamzo chak hakijajulikana.

 

Katika kuuzima moto huo, Kikosi cha Zimamoto mkoa wa Tabora kikilazimika kutumia gari la maji ya washawasha ambalo hutumiwa na Jeshi la Polisi Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), kutokana na gari za Kikosi cha Zimamoto kudaiwa kuwa na hitilafu zilizosababisha kushindwa kufika eneo la tukio.

Comments are closed.