The House of Favourite Newspapers

Real Madrid Yapania Kuwanunua Willian, Courtois

 

Willian has alerted Real Madrid after an impressive World Cup campaign with Brazil in Russia

Willian.

KLABU ya Hispania ya Real Madrid  imepania kuipa Klabu ya Chelsea ya Uingereza, Paundi mil. 100 (Sh. bil. 300) ili kuwachukua golikipa Thibaut Courtois na kiungo Willian.

Kipa huyo raia wa Ubelgiji, amesema wazi anataka kurejea Madrid walio wanaye, licha  ya kubakiza mwaka mmoja na klabu yake ya Chelsea.

Willian (2) alikuwa ajiunge na Barcelona wiki iliyopita lakini klabu hiyo ilishindwa kutoa kitita cha Paundi mil. 70 zilizotakiwa na Chelsea, hivyo ikaamua kumnunua winga wa Bordeaux, Malcom.

Thibaut Courtois has made no secret of his desire to move back to the Spanish capital

Courtois.

Comments are closed.