The House of Favourite Newspapers

Esperance Tunis Yatinga Fainali Ligi ya Mabingwa Afrika, Mamelodi Yapigwa Agg. 0-2

0

Wababe wa Yanga, Mamelodi Sundowns wamesukumizwa nje ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia kipigo cha jumla cha 2-0 dhidi ya vigogo wa Tunisia, Esperance Tunis kwenye hatua ya nusu fainali.

FT: Mamelodi Sundowns 🇿🇦 0-1 🇹🇳 Esperance (Agg. 0-2)
⚽ Bouchniba 57’

Esperance watachuana na wababe wa Simba Sc, Al Ahly kwenye hatua ya fainali.

Leave A Reply