The House of Favourite Newspapers

Rich Mavoko, Chidi Benzi, Lulu Diva, Weusi Wafunika Fiesta Mtwara – Video

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Richard Martin (katikati), maarufu kwa jina la ‘Rich Mavoko’ akitoa burudani ya nguvu kwa mashabiki wake Tamasha la Tigo Fiesta Saizi yako usiku wa kuamkia leo Mtwara.

 

ZAIDI ya wasanii 10 usiku wa kuamkia leo Jumapili 3, 2019 mkoa wa Mtwara wametoa burudani ya aina yake katika tamasha la Tigo Fiesta Saizi Yako, lililofanyika katika Uwanja wa Nangwanda Sijaona.

Mastaa waliopanda kwenye jukwaani ni Rich Mavoko, Chidi Benzi, Lulu Diva, Nandy kundi la WEUSI na wengine wengi.

Video Vixen na msanii wa Bongo Fleva Irene Louis maarufu kama Lynn akifanya shoo.
Msanii wa nyimbo za bongo fleva, Aslay Isihack maarufu kama Dogo aslay akiongea na mashabiki.
Rashidi Makwiro ‘Chidi Benzi’ akifanya makamuzi.
….Lulu Diva akifanya yake.
Msanii wa Hiphop Fid Q akiongea jambo.
Kundi la muziki wa Hip hop la Weusi wakitoa burudani.

PICHA NA MUSA MATEJA | GPL

AISEE! CHID BENZ Hana MPINZANI, Ona Alivyoamsha KIJIJI Mtwara, Watu HAWAJAAMINI!

Alichokifanya MAVOKO Kwa LULU DIVA Laivu STEJINI, Watu Wapiga KELELE..

Comments are closed.