The House of Favourite Newspapers

Richard wa BBA, Prodyuza Episcopere Walivyotinga Global TV Online leo

0

Global TV Online (1)

Mshindi wa Big Brother Africa 2007, Richard Bezuidenhout (kulia) akiwa na Prodyuza Episcopere Emmanuel  ndani ya studio za Global TV Online leo.

Mshindi wa shindano la Big Brother Africa 2007, Richard Dyle Bezuidenhout leo ametembelea studio za Global TV Online zilizopo Mwenge, Bamaga jijini Dar na kufanya mahojiano katika kipindi cha Exclusive Interview.

Richard aliambatana na prodyuza Episcopere Emmanuel ambaye amesimamia filamu yake mpya iitwayo Mchumba Siyo Atm. Filamu hiyo mpya inatarajiwa kuingia sokoni hivi karibuni. Usikose kuangalia Mahojiano hayo kesho jioni kupitia Youtube channel ya Global TV Online au www.globaltvtz.com

Global TV Online (11)

Richard Bezuidenhout (kulia) akifafanua jambo wakati wa mahojiano na Global TV Online leo. Kushoto ni Prodyuza Episcopere Emmanuel.

Global TV Online (14)

Richard Bezuidenhout akiwa katika picha na baadhi ya wafanyakazi wa Global.

Global TV Online (13) Global TV Online (15) Global TV Online (16) Global TV Online (17) Global TV Online (18) Global TV Online (19)

Richard Bezuidenhout  na Prodyuza Episcopere Emmanuel  wakiwa kwenye pozi na baadhi ya wafanyakazi wa GPL.

PICHA ZOTE NA CLARENCE MULISA / GPL

Leave A Reply