The House of Favourite Newspapers

Ridhiwani Kikwete Atoa Maagizo Kwa Ma-Ded Na Maafisa Utumishi- “Tunakuwa Na Utumishi Wa Hovyo – Video

0
Naibu Waziri Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Ridhiwani Kikwete.

Naibu Waziri Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Ridhiwani Kikwete ameutaka Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kuangalia upya mfumo unaoitaka Jamii kuchangia asilimia 10 kwenye Miradi inayotekelezwa kwa fedha za mfuko huo (OPEC) kupitia Mpango wa kunusuru kaya maskini.

Naibu Waziri huyo amesema hayo Leo mkoani Simiyu, wakati akizungumza na Viongozi wa Mkoa huo wakiwemo watendaji wa mfuko wa kunusuru kaya maskini (TASAF) wakati wa ziara yake ya Siku Moja Mkoani humo.

Amesema kuwa kiwango hicho kinaonekana kikubwa kwa baadhi ya jamii, ambazo kipato kwa siku ni kidogo hali ambayo anaeleza inaweza kusababisha lengo la Serikali kutotimia.

Leave A Reply