Rihanna Ajifungua Mtoto wa Kiume Los Angeles, Chris Brown Ampongeza – Video

Hatimaye Rihanna na mpenzi wake Asap Rocky(33) Mei 13, 2022 wamefanikiwa kupata mtoto wao wa kwanza wa kiume.
Rihanna ambaye amejifungua mtoto wake wa kwanza wa kiume akiwa na umri wa miaka 34, ripoti mbalimbali zinaeleza mtoto anaendelea vizuri pamoja na mama yake.

