The House of Favourite Newspapers

Manara Aanika Ukweli – “Fei Toto Bado Yupo Sana, Morrison Mali ya Simba” – Video

0


Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara leo Mei 19, 2022 ameendelea na ziara yake maluum Wilayani Njombe, ambapo amealikwa na Mkuu wa Wilaya hiyo Mh. Kissagwa ikiwa ni sehemu ya kuonesha fursa mbalimbali zinazopatikani Wilayani humo.

 

Sambamba na hayo Haji Manara ametembelea miradi mbalimbali inayotekelezwa na Serikali pamoja na kuwatembelea wanachama na mashabiki wa Klabu ya Yanga.

 

⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply