The House of Favourite Newspapers

Ronaldo Ampiku Messi

0

STAA wa Manchester United, Cristiano Ronaldo amempiku  mshindi wa mara sita wa tuzo ya Ballon d’Or Lionel Messi  anayekipiga Paris Sait -Germain PSG, kwa wanasoka wanaolipwa zaidi 2021.

 

Kwa Mujibu wa Jarida la Forbes, Ronaldo yupo kileleni akiingiza Paundi za kiingereza 9.5 Mil ambazo ni sawa na Bil. 289 na ushee hivi za kitanzania.

 

La pulga ambaye msimu uliopita alikuwa akiongoza orodha hiyo msimu huu yupo kwenye nafasi ya pili akiingiza Paundi 80.5 sawa na Bil. 255 za kibongo.

 

Listi kamili ya wachezaji 10  wanaolipwa zaidi iko hivi

  1. Ronado- Bilioni 289
  2. Messi- Bilioni 255
  3. Neymar- Bilioni 220
  4. Mbappe- Bilioni 99
  5. Salah- Bilioni 95
  6. Lewandowski- Bilioni 81
  7. Iniesta- Bilioni 81
  8. Pogba- Bilioni 78
  9. Bale-Bilioni 74
  10. Hazard- Bilioni 67

Leave A Reply