The House of Favourite Newspapers

RUBBY AFANYA BALAA KWENYE STAGE YA MISSTZ 2018 – VIDEO

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Hellen George ‘Ruby’ amefanya shoo ya aina yake kwenye usiku wa kumtafuta Miss Tanzania 2018 iliyofanyika Ukumbi mpya wa Mwalimu Julius Nyerere,jijini Dar usiku wa kuamkia leo.

Comments are closed.