The House of Favourite Newspapers

“RUBBY Hajui Kuimba / COUNTRY BOY Akitaka Nampa Tu” – SHELIDA

Msanii Chipukizi aliyekuja kufanya mageuzi katika kiwanda cha Bongo Fleva kwa upande wa ma Divas, Shelida, ambaye hivi sasa anatamba na ngoma yake mpya ya ‘Lipepee’ amesema kuwa moja kati ya wasanii wakike asiowakubali Bongo ni Ruby kwa sababu muziki wake una makelele sana.

Sheilida ambaye hivi sasa yupo jikoni anapika chuma kingine ambacho amempa kolabo Mkali wa Hip Hop, Country Boy, amesema anamshauri Rubby apunguze makelele kidogo ili awe mwanamuziki mzuri.

Comments are closed.