The House of Favourite Newspapers

Sabaya Adai Gari Lake Mahakamani

0

ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ameiomba Mahakama imrudishie mapema gari yake alilonunua kwa fedha zake halali kwa matumizi ya familia yake na kusema haina uhusiano na kesi hiyo inayomkabili kitu ambacho yeye hakijui.

 

Kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 27/2021 inayomkabili Lengai Ole Sabaya na wenzake sita imeendelea leo ambapo Gari hilo la Sabaya aina V8 lenye namba za usajili T222 BDY limeletwa Mahakamani hapo na upande wa Jamhuri kama kielelezo katika kesi hiyo.

Leave A Reply