The House of Favourite Newspapers

Sakata la Mitandao ya Simu Kupunguza Bando Lazua Mjadara Bungeni – Video

0


Mbunge wa Viti Maalum, Judith Kapinga ameomba Serikali kuangalia upya suala la kampuni za simu kupandisha vifurushi vya ‘internet’ bila taarifa.

 

Amefafanua kuwa, “Natambua Tafiti zinaonesha Tanzania ndiyo ina tozo ndogo kabisa kwenye Data katika Ukanda wa Afrika Mashariki, lakini tatizo lipo kwenye upandishaji holela wa huduma za Internet.”

 

Amesema, “Pato la mtu mmoja ni Tsh. 1000 na kitu lakini unamfanya mtu atumie gharama ya Tsh. 3000 kwa siku kwenye huduma ya mawasiliano, sio sahihi.”

 

Ametoa wito kwa Serikali kuangalia hilo ili kunusuru Vijana ambao wanatumia mitandao ya kijamii kujipatia kipato

Leave A Reply