The House of Favourite Newspapers

SAMORA MACHEL: Rais Aliyetolewa UHAI Kwa Njama… Kisa Mabeberu!

UKILITAJA jina la Samora Machel wazalendo wote tunagonga ‘cheers’, washenzi wananuna kwa sababu wanajua alivyowakaba, wakaishia kumtungua kwenye ndege na kumuua, mkewe akaomboleza kwa kuvaa nguo nyeusi kwa miaka mitano mfululizo.

 

Mwanaharakati huyu aliyezaliwa septemba 29, 1933 katika jimbo la Gaza nchini Msumbiji alikuwa mtoto wa mkulima tajiri wa ng’ombe na mashamba lakini Wazungu wakamfukarisha.

Comments are closed.