The House of Favourite Newspapers

Sarah Dumba azikwa jijini Dar

0

1.Ndugu wa marehemu Sarah Dumba akishikilia picha ya marehemu enzi za  uhai wake.-001    Ndugu wa marehemu Sarah Dumba akishikilia picha ya marehemu enzi za  uhai wake.2.Waombolezaji wakiwa katika makaburi ya Kigogo Kigamboni jijini Dar tayari kwa ajili ya mazishi ya Sarah Dumba.-001Waombolezaji wakiwa katika makaburi ya Magogoni, Kigamboni jijini Dar tayari kwa ajili ya mazishi ya marehemu Sarah Dumba.3.Kaburi la aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Njombe  marehemu, Sarah Dumba.-001Mafundi wakijengea kaburi la marehemu Sarah Dumba.5.-001Kaburi la aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Njombe  marehemu, Sarah Dumba.

ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Njombe, Sarah Dumba aliyefariki dunia Machi 21, mwaka huu amezikwa leo katika makaburi ya Magogoni, Kigamboni jijini Dar es Salaam ambapo ndugu jamaa na marafiki wameshiriki katika mazishi hayo.

Na Denis Mtima/Gpl

Leave A Reply