The House of Favourite Newspapers

Serikali Yakanusha Tetesi za Katibu Mkuu Utumishi wa Umma, Dkt. Ndumbaro Kujiuzulu

ndumbaro

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro.

KANUSHO: Serikali imekanusha tetesi katika mitandao ya kijamii kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro amemwandikia barua Rais Dkt. John Magufuli akiomba kujiuzulu. Yathibitisha kuwa taarifa hizo ni za uongo na Dkt. Ndumbaro anaendelea kuchapa kazi kama kawaida.

Isome taarifa ya serikali hapa;

kanusho

Comments are closed.