Serikali Yatoa Kibano kwa Shule Binafsi

WARAKA wa Elimu Namba 7 wa Mwaka 2004 umepiga marufuku utaratibu wa shule zisizo za serikali kukaririsha darasa, kufukuza au kuhamisha mwanafunzi aliyefaulu mtihani wa darasa la nne, kidato cha pili kwa kigezo cha wanafunzi hao kutofikia wastani wa ufaulu wa shule husika.

Loading...

Stori zinazo husiana na ulizosoma

Toa comment