The House of Favourite Newspapers

Shamsa ford ashoboka

0

SHAMSAShamsa Ford

HIVI karibuni muuza nyago Bongo, Shamsa Ford alitupia kwenye Mtandao wa Kijamii wa Instagram picha akiwa amevaa jezi ya mwanasoka kutoka Burundi anayekipiga Ufaransa katika Timu ya Caen, Said Ntibazonkiza, jambo lililotafsiriwa na wafuasi wake kuwa ni shobo! Sikia;

Baada ya kutupia picha hiyo, mjadala ulizuka watu wakihoji nini kinaendelea katikati ya wawili hao lakini Shamsa alipotafutwa na gazeti hili alidai anampenda tu mchezaji huyo na hawana ukaribu wowote.

Leave A Reply