The House of Favourite Newspapers

Sherehe Ya Harusi Ya Ali Kiba Kutoka Mombasa

MSANII Alikiba amefunga ndoa na mpenzi wake Aminah Rekish asubuhi ya leo katika msikiti wa Ummul Kulthum uliopo mjini Mombasa nchini Kenya. Na usiku wa leo sherehe imefanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee ulioko jijini humo.

Ali Kiba akiwa na mke wake kwenye picha mbalimbali.

Mombasa Mambo ni hivi🔥🔥 @officialalikiba akiwa na mkewe Live😘😘😘

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers) on

Malkia wa King Kiba.

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers) on

Comments are closed.