The House of Favourite Newspapers

Sherekea Pasaka na Chapride Watoa Punguzo la Tsh 3000 kwa Kila Safari

0
Katika msimu huu wa Pasaka, kampuni ya usafiri wa kimtandao ya Chapride, inakuletea bonge la ofa la punguzo la nauli ili usherehekee vyema Pasaka wewe na uwapendao.
Katika Sikukuu ya Pasaka, Jumapili ya April 9, utasafiri kwa punguzo la Tsh. 3000 kwa kila safari utakayofanya.
Kama bado hauja download Chapride, huu ndiyo wakati wa kudownload ili ufurahie kufanya safari kwa punguzo kubwa la bei.
Kujiunga, download app ya Chapride kupitia Playstore au Appstore:
ANDROID:
Simu:+255620817304
@chapridetz
Leave A Reply