The House of Favourite Newspapers

Shigongo Aifariji Familia Ya Manyaga Nyakaliro-Buchosa

0
Mgombea Ubunge kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),Eric Shigong James akiwafariji wafiwa.
Mgombea Ubunge kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),Eric Shigong James akimfariji mmoja wa wafiwa baada ya kufika nyumbani hapo.
Shigong akiendelea kuwafariji wafiwa kwa kuondokewa na mpendwa wao.
Mgombea Ubunge kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),Eric Shigong James akiendelea kuwafariji wafiwa katika familia ya Manyaga Mirambo.
Shigongo akifariji wafiwa katika kijiji cha Nyakaliro Halmashauri ya Buchosa-Sengerema jijini Mwanza.
Shigongo akimfariji mmoja wa wanafamilia kwa kuondokewa na mpendwa wao.
Akiendelea kuwafariji.
Akiendelea kuwafariji wafiwa.

Mgombea Ubunge kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),Eric Shigong James jana amefika nyumbani kwa familia ya Nyaga Mirambo kuifariji kutokana na kuondokewa na mpendwa wao, Ntumbi Manyaga ambaye ni baba wa familia hiyo aliyefariki dunia Septemba 16 mwaka huu. Akiwa msibani hapo aliweza kuungana na  ndugu, jamaa na marafiki katika kuwapa pole kutokana na msiba huo.

Leave A Reply