The House of Favourite Newspapers

Mbunge wa Buchosa, Shigongo Awasha Moto Bungeni Kisa Kina Mama – Video

0

Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Sengerema Mwanza Eric J. Shigongo hapo jana katika Bunge la 12 Mkutano wa 15 katika kikao cha kumi na mbili ambapo majadiliano ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira kwa Mwaka wa Fedha 2024/25.
Mbunge Eric Shigongo amefafanua kwa undani zaidi jinsi baadhi ya wanamama wanaopata matatizo ya Kansa yanayosababishwa na shughuli za uchimbaji wa madini.
Mbunge Shigongo ameeleza zaidi jinsi wanamama wengi wanaopoteza maisha kwa janga hilo, lakini pia ameomba ufafanuzi wa Juhudi za Serikali katika kumlinda mwanamke wa kitanzania.

Leave A Reply