The House of Favourite Newspapers

Shigongo: Walimu Wetu Wana Maisha Magumu, Natamani Walipwe Vizuri – Video

0


Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo ni miongoni mwa wabunge waliochangia katika mjadala wa makadirio ya bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia bungeni jijini Dodoma.

Miongoni mwa mambo aliyoyasisitiza Shigongo, ni kuwafundisha wanafunzi kuanzia chekechea kwa lugha ya Kiingereza ili wawe na uwezo wa kushindana na mabadiliko ya sayansi na teknolojia yanayoendelea duniani kote.

Leave A Reply