The House of Favourite Newspapers

Shilole – Mchaka Mchaka (Oficial Video)

MSANII wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ameachia Video ya Wimbo wake mpya ambao ameupa jina la Mchaka Mchaka, ambao ndani yake ameimbia kuhusu maisha yake halisi ya mapenzi.

Ngoma hiyo imetengenezwa na Studio za Slide Visuals, ndani yake utamuona mume wa Shilole, Uchebe naye ameuza sura.

CHEKI NGOMA INAYVOUMIZA

Comments are closed.