The House of Favourite Newspapers

Shilole: Mume Wangu Hajawahi Kuoa

Msanii Zuwena Mohamed ‘Shilole’ (katikati) akiwa na mpenzi wake waliyefunga naye ndoa, Ashraf Uchebe (kushoto) katika picha ya pamoja baada ya ndoa hiyo jijini Dar es Salaam.

BAADA ya hivi karibuni kufunga ndoa na Ashraf Uchebe, msanii wa muziki, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefungukia tetesi za kuwa amemchukua mume wa mtu na kusema siyo za kweli.

 

Akipiga stori na Risasi Vibes, Shilole alisema mumewe hana mwanamke mwingine na hajawahi kuoa bali yeye ndiye mkewe halali hivyo wanaosema kwamba ana mke ni waongo, anachomshukuru Mungu ni kwamba anafurahia ndoa yake na mambo yanaenda vizuri.

HADITHI: SIKU ZA MWISHO ZA UHAI WANGU – SEHEMU YA 1 (Audio)

Nakuletea dakika 15 za kwanza za simulizi hii tamu ya SIKU ZA MWISHO ZA UHAI WANGU. Ukitaka kuisikiliza simulizi hii Install #GlobalPublishersApp sasa. Utasoma na kusikiliza kitabu chote kuanzia sehemu ya kwanza hadi ya mwisho bureeeee!

Android: Bofya ==>http://bit.ly/2AAQe1d
iOS: Bofya ==>http://apple.co/2Assf4M

“Maisha ya ndoa ni mazuri sana tofauti na kipindi sijaolewa, kilichobadilika ni kwamba kila kitu ninacho-kifanya
lazima nimshirikishe mume wangu kuhusu wanaosema ana mwanamke mwingine ni waongo kwani hajawahi kuoa na hakuna mwingine zaidi yangu,” alisema Shilole.

Shamsa Amfunda Shilole Siri ya Ndoa

Comments are closed.