The House of Favourite Newspapers

Shinda nyumba yatikisa wakazi wa Dar

0

1

Afisa Masoko wa Global Publishers, Jimmy Haroub pamoja na Venda wa Kampuni hiyo, Theresia Julian wakiwaelekeza wasomaji wa Magazeti Pendwa jinsi ya kushiriki bahati nasibu ya Shinda Nyumba.

2

Afisa Masoko wa Global, Jordan Ngowi akimvalisha zawadi ya kofia msomaji wa Magazeti Pendwa.

3

Mkazi wa Bunju B, akiweka kuponi yake ya ushindi.

4

Mama lishe akijaza kuponi yake.

5

Kijana akichangamkia fursa.

6

Wakazi wa eneo la Bunju B wakiweka kuponi zao.

7

Vijana wa bodaboda wa eneo la Njia Panda ya Salasala wakipigania nafasi ya kushinda nyumba.

8

Mama Lishe akijaza kwa umakini kuponi yake.

9

Kijana akijaribu bahati yake kwa kujaza kuponi ya ushindi.

10

Mjasiriamali akielekezwa na Venda jinsi ya kujaza kuponi.

WAKAZI wa Njia Panda ya Salasala, Boko Chama pamoja na Bunju B jijini Dar es Salaam leo wameendelea kuchangamkia Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba inayoendeshwa na Kampuni ya  Global Publishers Ltd ambao ni wachapishaji wa Magazeti ya Championi, Uwazi, Ijumaa Wikienda, Amani, Ijumaa na Risasi.

Katika zoezi hilo, Maofisa Masoko wa Kampuni hiyo walikuwa wakitoa maelekezo ya jinsi ya kushiriki droo hiyo ambapo msomaji anapaswa kununua gazeti lolote kati ya magazeti yaliotajwa hapo juu kisha kukata kuponi iliyopo ndani yake na kuituma Global.

Aidha wasomaji wa magazeti hayo walikuwa wakijipatia zawadi mbalimbali zilizokuwa zikitolewa na maofisa hayo katika maeneo hayo.

Leave A Reply