The House of Favourite Newspapers

SHOO YA DUDU BAYA USIKU WA RAY VANNY DAR LIVE USIPIME (PICHA +VIDEO)

Msanii mkongwe wa muziki wa Hip Hop nchini, Dudu Baya akitoa burudani usiku huu  Uwanja wa Taifa wa Burudani  Dar Live uliopo Mbagala Zakhiem, usiku wa Ray Vanny.

Msanii mkongwe wa muziki wa Hip Hop nchini, Dudu Baya akitoa burudani ya nguvu kwa mashabiki wake Idd Pili katika Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar.
…Akiongea na mashabiki zake
Umati wa mashabiki wakiwa ndani ya Dar Live usiku huu.

 

PICHA: RICHARD BUKOS, GPL

Comments are closed.