The House of Favourite Newspapers

SHOO YA RICH MAVOKO USIPIME TIGO FIESTA DAR (PICHA +VIDEO)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Richard Martin (kushoto),  maarufu kwa jina la ‘Rich Mavoko’ akitoa burudani ya nguvu kwa mashabiki wake Tamasha la Tigo Fiesta Vibe Kama Lootee usiku wa kuamkia leo katika Viwanja vya Posta, Kijitonyama, Dar.
…Akifanya yake.

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Richard Martin maarufu kwa jina  la ‘Rich Mavoko’,  usiku wa kuamkia leo ametoa burudani ya nguvu kwa mashabiki wake katika Tamasha la Tigo Fiesta Vibe Kama Lootee ambalo limefanyika katika Viwanja vya Posta Kijitonyama jijini Dar es Salaam.

Mashabiki zake walionekana wakimuunga mkono kwa kumshangilia wakati akiimba nyimbo zake ambazo mashabiki hao walionekana kuvutiwa nazo.

PICHA: RICHARD BUKOS, GPL

Comments are closed.