The House of Favourite Newspapers

Shughuli ya MOBETO Kwenye Shindano la Miss Mwanza 2018 – Video

MODEL anayetamba kwa sasa Bongo, Hamisa Mobeto amehudhuria na kupata fursa ya kuwa jaji katika Shindano la Urembo Mkoa wa Mwanza lilofanyika usiku wa kuamkia leo jijini humo.

VIDEO: SHUHUDIA TUKIO HILO HAPA

Comments are closed.