The House of Favourite Newspapers

Siku Chache Baada ya JPM Kuteua, Kigwangalla Atengua

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla ametengua uteuzi wa Wajumbe wa Bodi ya Mamlaka ya  Hifadhi Eneo la Ngorongoro. Kigwangalla amefanya uamuzi huo ikiwa ni siku chache baada ya Rais Magufuli kumteua Prof. Abiud Kaswamila kuwa Mwenyekiti Mpya wa Bodi hiyo.

Taarifa kutoka Wizara hiyo imeeleza kuwa uteuzi mpya wa wajumbe wa Bodi hiyo utafanyika hivi karibuni.

UTEUZI ALIOUFANYA RAIS MAGUFULI DESEMBA 6, 2017

Comments are closed.