The House of Favourite Newspapers

Nilikata Tamaa Nikawa Siamini Kama Naweza Kuja Kuolewa Nikiwa na Umri wa Miaka 43

0

KILA mwanamke ana ndoto ya kuolewa na mume mzuri ampendaye ambaye anaona anamfaa kuanzisha naye familia na kuishi maisha mazuri ya upendo, furaha, kujaliana na kuthaminiana.

 

Ni vigumu kusema kuna mwanamke asiyekuwa na malengo hayo ingawa kuna wachache ambao wanaweza kuwa kinyume na hilo kutokana na sababu mbalimbali ambazo muda mwingine zinakuwa nje ya uwezo wao au sababu za kimazingira.

 

Jina langu ni Anna, kwa sasa nina miaka 46, naishi Dar es Salaam, Tanzania. Niliolewa miaka mitatu iliyopita, yaani nikiwa na umri wa miaka 43 jambo ambalo mwenyewe sikuamini hata familia yangu tayari ilikuwa imeshanikatia tamaa.

 

Siri ya kuolewa kwangu katika umri huo ni Dr. Kiwanga ambaye alinitumia dawa zake baada ya kuwasiliana naye kwa namba hizi +254769404965 ambazo nilizitoa kwenye tovuti yake, www.kiwangadoctors.com kipindi nikitafuta mbinu za kuweza kupata mume.

 

Hapo awali nilikuwa na mahusiano na kaka mmoja ambaye tulidumu kwa miaka saba nikitarajia atakuja kunioa lakini haikuwa hivyo, tuliachana kwa ugomvi mkubwa hadi nikasema sitakuja kupenda tena, nitaishi hivyohivyo.

 

Nyumbani kwetu kila mara mama alikuwa ananiuliza ni lini nitaolewa nimletee mjukuu? Sikuwa na jibu la maana la kuwapa zaidi ya kusema nitaolewa muda sio mrefu.

 

“Tazama wasichana wenzako wote wa rika lako mliozaliwa pamoja wameolewa umebaki wewe pekee, fanya jambo mwanangu,” hiyo ndiyo kauli aliyokuwa akinitolea mama mara kwa mara.

 

Baada ya kutumia dawa ya Dr. Kiwanga ndipo nilipoondoa aibu yangu ya miaka mingi, alikuja kijana mmoja mtanashati ambaye kwa wakati huo alikuwa na umri wa miaka 44, akanitongoza na kusema yupo tayari kuja nyumbani kwetu kujitambulisha na kunioa.

 

Kweli nilimleta nyumbani, akawaona wazazi wangu, na mimi akanipeleka kwao kisha tukaanza mipango ya kufunga ndoa ambayo naweza kusema ilikuwa furaha sana siku ya harusi yetu.

 

Hata hivyo, bado nilikuwa na wasiwasi kama bado naweza kupata mtoto kutokana umri wangu kuwa umesonga sana, lakini nashukuru kwa msaada mwingine wa Dr. Kiwanga kwani niliweza kujaliwa kupata mtoto wa kike.

 

Kwa hakika naweza kusema au kuwatia moyo wanawake ambao wapo kwenye umri wa miaka 30 – 35 ambao wanahangaika kutafuta wanaume wa kuwaoa, wasikate tamaa na kuona umri umesonga, bali watumie njia niliyotumia mimi hapa.

 

Pia Dr. Kiwanga anatibu maradhi kama kifua kikuu, kisukari, msukumo wa damu, kifafa na magonjwa mengineyo, pia anasuluhisha shida za kifamilia kama kutokuwa na uwezo wa kupata mtoto, kutopata mchumba na kuolewa, shida za ndoa, kuwa na bahati katika maisha hasa katika michezo ya kamari na mengineyo.

 

Kwa maelezo zaidi wasiliana na Dr. Kiwanga kwa namba +254 769 404 965, barua pepe [email protected]  au tembelea tovuti yake ambayo ni www.kiwangadoctors.com  kwa mengi zaidi.

 

 

Leave A Reply