The House of Favourite Newspapers

Simanzi na Vilio Kuagwa Miili ya Wanafunzi, Wafanyakazi UDSM – Video

SIMANZI na majonzi vimetawala miongoni mwawaombolezaji wakati wa kuaga miili ya wanafunzi wawili na wafanyakazi wawili wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), waliofariki dunia hivi karibuni kwa ajali ya ambulance walilokuwa wamepanda kugongana na lori maeneo ya Ubungo Riverside jijini Dar es Salaam.

Waliofariki dunia kwa ajali hiyo ni, Maria Godian Soko (mwaka wa kwanza COSS) na Steven E Sango (CPE CoET mwaka wa pili), dereva James na nesi wa Chuo hicho.

Comments are closed.