The House of Favourite Newspapers

Simba wadhibitisha Kuondoka kwa Benchikha pamoja na wasaidizi wake wawili

0

Uongozi wa klabu ya Simba SC umefikia makubaliano ya pande mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu Abdelhak Benchikha pamoja na wasaidizi wake wawili Kamal Boujnane na Farid Zemit.

Timu itakuwa chini ya Juma Mgunda ataanza kazi katika mchezo wa ligi kuu ya NBC dhidi ya Namungo FC utakaochezwa April 30, Ruangwa Mkoani Lindi katika Uwanja wa Majaliwa.

Leave A Reply