The House of Favourite Newspapers

SIMULIZI ZA VITABUNI: Dhambi Takatifu, Sehemu Ya Kwanza – VIDEO

Simulizi ya Dhambi Takatifu ni simulizi inayowazungumzia maisha
ya vijana wawili, Carolina na Aidan waliotokea kushibana kiurafiki tokea wakiwa wadogo.

Uhusiano huo wa kirafiki baadae ulichochea hisia za kimapenzi baina hayo baada ya Aidan kuonesha hisia za kimapenzi kwa rafiki yake Carolina,

MTUNZI: Hashim Aziz,

MSIMULIZI: Ananias Edgar

Comments are closed.