The House of Favourite Newspapers

Spoti Hausi: Kutana Live na Mzee Muchacho Leo Saa 10:00

Leo Saa 10 Jioni tutakuwa na Mzee Muchacho, mwanzilishi wa KIDEDEA…atakupa stori kibao. KATUAMBIA aliwahi kutumwa na Mganga wa kienyeji apeleke fimbo ya mlemavu wa macho….unajua aliipata wapi? Yuko tayari kufunguka katika SPOTI HAUSI ya Global Tv Online (UNAWEZA KUIANGALIA KUPITIA SIMU YAKO YA MKONONI KUPITIA YOUTUBE) ….

Ni saa 10:00 LEO Alhamisi….

USIKOSE

Comments are closed.