The House of Favourite Newspapers

SPOTI HAUSI: SIMBA Yawatemea Ubingwa YANGA – VIDEO

LIGI Kuu Tanzania inaendelea le, lakini rasmi ni kwamba Simba wakishinda michezo yao yote watakaa kileleni kwenye ligi, wachambuzi wako watakueleza kila kitu na kwanini Yanga wanaangusha pointi mfululizo.

Pia watajadili kuhusu mchezo wa Simba vs Al Ahily, safari ya Shiza Kichuya Misri pamoja na Ligi Kuu ya England, usikose kuanzia saa 10:00 jioni.

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Comments are closed.