The House of Favourite Newspapers

Spoti Xtra lazidi kuwatembelea wasomaji wake

Msomaji aliyekuwakutwa ametulia akisoma gazeti la Spoti Xtra
Mwenyekiti wa Keko Furniture Mpira Pesa, Kessy Zorro akipata uhondo wa Spoti xtra.
Muuzaji wa Spoti xtra, Lilian Richard akiwauzia washkaji wa Keko Furniture Mpira Pesa (2)
Msomaji akijisomea Spoti Xtra huku akitabasamu.
Akiendelea kuwauzia
Wakiwa wamenogewa na Spoti Xtra

Gazeti la Spoti Xtra  leo limendelea kupiga mzigo mtaani baada ya kuwatembea wasomaji wake wa eneo la Keko jijini Dar ambapo baadhi ya wasomaji waliokutwa wakisoma gazeti hilo  walipewa zawadi mbalimbali.

Mbali ya zawadi hizo Spoti Xtra linaendesha Shindano la Jishindie Headpho za Beats by Dre pamoja na jezi za Ligi kuu ya England.

Picha: Richard Bukos

 

Comments are closed.