The House of Favourite Newspapers

Global Ripota: Ajali Mbaya Yaua Dereva wa Bodaboda

TANZIA! Kijana mmoja ambaye ni dereva wa Bodaboda, amepoteza maisha kufuatia ajali iliyotokea leo maeneo ya Airport jijini Dar es Salaam.

 

Ajali hiyo ilihusisha Bodaboda mbili ambapo moja ilikuwa ikitokea Banana kuelekea Kariakoo na nyingine ikitoka Gongo la Mboto kuelekea Banana, ndipo walipokutana uso kwa uso na kusababisha dereva mmoja kupoteza maisha papo hapo.

 

GLOBAL – RIPOTA ni You Tube Channel ya Jamii, inakupa nafasi wewe mdau ku share habari na matukio ya kipekee na wenzio popote walipo duniani, kwa kutumia simu yako ya mkononi.

 

Popote ulipo unapokutana na tukio ambalo unaweza kulinasa kwa njia ya video ya simu yako, basi usisite kufanya hivyo na kisha tutimie kwenda namba 0753 715 779 (+255753715779).

 

SHARE NA ULIMWENGU wapate kufahamu kinachoendelea hapo ulipo. Tunalipa vizuri video za habari na matukio ya kwanza kutufikia. SUBSCRIBE NOW: https://www.youtube.com/user/GlobalPu… WHATSAPP: 0753 715 779

Comments are closed.