The House of Favourite Newspapers

Stara Thomas aeleza siri ya kupungua kwake

0

STARAMwanamuziki Stara Thoma

STORI: HAMIDA HASSAN, WIKIENDA
MWANAMUZIKI Stara Thomas juzikati aliongea na Ijumaa Wikienda na kueleza siri ya kupungua kwa mwili wake ambapo alidai kuwa, kuacha pombe na kula mbogamboga kwa wingi ndiyo siri ya mafanikio yake.

Stara aliongea hayo alipokuwa kwenye uzinduzi wa siku ya Msanii kwenye Ukumbi wa Alliance Française baada ya kuingia na kuonekana aliyepungua sana ambapo mwandishi wetu alipomhoji imekuwaje akafunguka:

“Nashukuru Mungu hata mimi najiona kabisa nimepungua, siri ya mafanikio yangu ni kuacha pome, mazoezi na kula kwa mpangilio mzuri, kwa sasa hata mimi najiona mwepesi kiukweli.”

Leave A Reply