The House of Favourite Newspapers

Suge Knight Ahukumiwa Miaka 28 Jela Kwa Kugonga na Kuua

Former rap mogul Marion "Suge" Knight is seen in court in Los Angeles on Thursday as he was given a 28-year prison sentence f

RAPA wa zamani, Marion “Suge” Knight amehukumiwa kifungo cha miaka 28 kwa kumgonga mtu kwa gari na kumuua na kumjeruhi mwingine halafu akatoroka.

Mwanamuziki na rapa huyo maarufu mwenye umri wa miaka 53 alimgonga mfanyabiashara Terry Carter huko Compton, California.Los Angeles County sheriff's deputies and investigators stand near the scene where Terry Carter was killed in a hit-and-run c

Katika kesi hiyo, Suge alinusurika kuhukumiwa kifungo cha maisha.

Comments are closed.