The House of Favourite Newspapers

Tabia za Mama DIAMOND, Mama MOBETO, Mama LULU ni Hizi! – VIDEO

Global Tv imekuletea list ya tabia za mama wa mastaa wa Bongo ambao hujumuisha Bongo Muvi, Bongo Fleva n.k. ambao baadhi yao wamemulikwa mara kadhaa na baadhi ya vyombo vya habari vya hapa nchini.

Uchambuzi huo umefanywa na gazeti la Amani linalotolewa na kampuni ya Global Publishers kwa lengo la kuwajuza watanzania.

 

Comments are closed.