The House of Favourite Newspapers

TACAIDS Watoa Mafunzo Ya Mtandao Kwa Wanawake

0

Tume ya kudhibiti Ukimwi Tanzania, (TACAIDS) leo Julai 27, 2021 wameadhimisha mafunzo ya kuwajengea uwezo mtandao wa wanawake wanaoishi na VVU pamoja na watu wenye ulemavu juu ya afua za virus vya UKIMWI na changamoto zitokanazo na ukiukwaji wa haki za binadamu zinazochangia uwepo wa unyanyapaa na ubaguzi ktk jamii

Mafunzo hayo ambayo yamewezeshwa na kuratibiwa na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia uwezeshaji wa wanawake (Un Woman), kupitia Udhamini wa Global Fund,yalifanyika katika ukumbi wa Chuo cha Unesi,kilichopo Bagamoyo mkoani Pwani.

Leave A Reply