×

Tag: ajali

Breaking News: Magari Yaliyobeba Polisi, Wanajeshi Yapata Ajali Moro

Basi lililokuwa limebeba askari Polisi limegongana na gari dogo aina ya Noah iliyokuwa imebeba Wanajeshi wa JWTZ, katika maeneo ya...

READ MORE

BARABARA MOSHI-DAR YAFUNGWA KWA MUDA KWA KUANGUKIWA NA MTI

  BARABARA ya Moshi-Dar imefungwa kwa muda asubuhi ya leo eneo la mbele ya  Chekereni karibu na daraja la Kileo...

READ MORE

Mkurugenzi Halmashauri ya Kongwa Afariki Ajalini -Breaking News

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa, Ngusa Izengo, amefariki dunia katika ajali ya gari  iliyotokea usiku wa kuamkia...

READ MORE

BWANA HARUSI AFARIKI AKIENDA KUTOA MAHARI

MAISHA ya mwanadamu ni siri ya Mola wake na akiamua kuyakatisha, basi hakuna mwanadamu wa kubisha!   NDOTO ZAYEYUKA Ndivyo...

READ MORE

Basi la Kampuni ya Maqadir Lapata Ajali Tanga

Basi la Kampuni ya Maqadir lililokuwa linatoka jijini Tanga kwenda Kijiji cha Mtae, Wilaya ya Lushoto mkoani humo, limeanguka asubuhi ...

READ MORE

BREAKING NEWS: WATU 8 WAFARIKI AJALINI MBEYA

WATU nane wamefariki dunia papo hapo na mmoja amejeruhiwa baada ya gari dogo aina ya Toyota Noah kugongana na basi...

READ MORE

Mwigulu Aagiza Watu Hawa Wakamatwe, Wasiachiwe! – Video

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Mwigulu Nchemba ameliagiza Jeshi la Polisi kuwatoza faini, kuwaweka ndani madereva wanaovunja...

READ MORE

JPM Awalilia 12 Waliokufa Ajalini Tabora, Ataka Polisi Kujitathmini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli ametuma salamu za rambirambi kufuatia vifo vya watu 12 vilivyotokea...

READ MORE

Tabora: Basi la City Boy Lagongana na Fuso, 12 Wafariki, 46 Wajeruhiwa!

BASI la Kampuni ya City Boys limepata ajali ya kugongana na lori aina ya Fuso katika eneo la Makomero Tarafa...

READ MORE

FAMILIA YA WATU 6 KUFARIKI AJALINI, NI ZAIDI YA MSIBA

DAR ES SALAAM: unaweza kusema huu ni zaidi ya msiba kufuatia ile habari ya watu sita wa familia moja wakazi...

READ MORE

Mauzauza Eneo la Ajali Iliyoua watu 26 Mkuranga

PWANI: Kufuatia watu 26 kufariki dunia na wengine tisa kujeruhiwa baada ya basi dogo (Hiace) lililokuwa likitoka Mkuranga kuelekea Kimanzichana mkoani...

READ MORE

WATU 26 Wafariki Ajali ya Lori na Hiace Mkuranga

WATU 26 wamefariki dunia na wengine tisa kujeruhiwa baada ya  gari dogo (Hiace) lililokuwa  likitoka Mkuranga kuelekea Kimanzichana mkoani Pwani,...

READ MORE

Lori la Mafuta Lateketea Vibaya na Kuua Wawili Singida – Video

TAARIFA kutoka mkoani Singida muda huu ni kwamba lori la mafuta limeanguka na kuwaka moto katika eneo la Mlima Sekenke,...

READ MORE

MREMBO ACHUNGULIA KIFO LIVE!

  KAMA siku yako ya kifo haijafika, haijafika tu, utadhurika na kuteseka ila hufi! Ndivyo walivyokuwa wakisema baadhi ya mashuhuda...

READ MORE

SEMI TRAILER LAVAMIA DUKA, WATATU WANUSURIKA KIFO

  WATU watatu wamenusurika kifo mjini Morogoro baada ya kutokea ajali mbaya ya lori la mizigo, (Semi Trailer) ambalo dereva...

READ MORE

UGANDA: MFANYAKAZI AJIRUSHA KUTOKA KWENYE NDEGE

Mfanyakazi wa shirika la ndege la Emirates jana jioni alijirusha kutoka kwenye ndege ya shirika hilo na kuanguka katika uwanja...

READ MORE

Taharuki! Malori 3 Yashindwa Kupanda Mlima – Video

MALORI matatu ya mizigo yamezua taharuki huku yakitaka kupinduka baada ya kushindwa kupandisha mlima wakati yakitoka Mufindi kupitia Makambako Iringa...

READ MORE

Fundi Aporomoka Kwenye Jengo Anusurika Kifo – Video

AJALI KAZINI! Fundi mmoja wa ujenzi nusura apoteze maisha baada ya kudondoka, alipokuwa katika eneo lake la kazi na wenzake...

READ MORE

Daraja la Kivule Lakatika Tena – Video

Daraja la Kivule jijini Dar es Salaam limekatika tena kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini. Popote ulipo unapokutana na...

READ MORE

AJALI MBEYA: Wanne Wafariki Dunia, 20 Wajeruhiwa Vibaya

  MBEYA: Watu wanne wamefariki dunia na wengine zaidi ya 20 kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Super Rojas...

READ MORE

Breaking News: Mbunge wa CCM na Wandishi Watatu Wapata Ajali Mtwara

MBUNGE wa Nanyamba kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdalah Chikota pamoja na waandishi wa habari watatu wa vyombo vya ITV,...

READ MORE

Ajali Mbaya Yatokea Kimara Mwisho Dar (Video)

Ajali mbaya imetokea Kimara Mwisho jijini Dar es Salaam ambapo gari aina aya Toyota Noah namba T.871 BTU iliyokuwa ikitokea...

READ MORE

SHINDANO LA MBIO MAGARI LAJERUHI WATANO TANGA – VIDEO

WATU watano wamejeruhiwa katika mashindano ya mbio za magari mkoani Tanga jana Jumapili asubuhi baada ya mmoja wa madereva wanaoshiriki mashindano...

READ MORE

PICHA 7: MOTO ULIVYOTEKETEZA BWENI KOROGWE GIRLS

MOTO umeteketeza bweni katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Korogwe iliyoko mkoani Tanga na kuwaacha wanafunzi hao katika hali mbaya...

READ MORE

Breaking News: Moto Waunguza Shule ya Wasichana Korogwe

Shule ya Sekondari ya Wasichana Korogwe  iliyoko wilayani Korogwe Mkoa wa Tanga, inaungua moto usiku huu, huku chanzo cha ajali...

READ MORE

Sita Wafariki Basi la New Force Kugongana na Hiace (Picha + Video)

WATU watano wamefariki dunia leo asubuhi na mmoja wao kafia wodini baada ya basi la New Force lilikokuwa linatokea Msamvu kwenda...

READ MORE

Gari Lateketea kwa Moto Dar – Video

GARI dogo limeteketea kwa moto leo Ijumaa, Machi 2, 2018 asubuhi katika maeneo ya Ukonga Banana kwenye barabara ya kuelekea...

READ MORE

BREAKING: Daladala Yagonga Magari Mawili Temeke – Video

AJALI mbaya ya gari imetokea leo Machi 1, 2018, maeneo ya Temeke, baada ya basi ya abiria (Daladala) aina ya...

READ MORE

BREAKING NEWS: TRENI YA ABIRIA YAANGUKA

TRENI  ya abiria iliyokuwa ikisafiri kutoka Tabora kwenda Kigoma imeanguka mchana huu kati ya stesheni ya Malagarasi na Uvinza, Kamanda...

READ MORE

Kamanda wa Polisi Arusha Apata Ajali

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo amepata ajali katika eneo la Mdori mkoani Manyara baada ya gari alilokuwa...

READ MORE

Taharuki: Lori Lenye Shehena ya Sementi Nusura Liue

LORI la mizigo  lililokuwa limebeba sehena ya saruji limezua taharuki kwa wakazi wa Jiji la Mbeya baada ya kushindwa kupandisha...

READ MORE

Ajali Mbaya ya Basi la Abiria Yatokea Kimara

Basi la abiria (Daladala) linayofanya safari zake kati ya Mbezi na Makumbusho jijini Dar es Salaam limepinduka leo Jumatatu, Februari...

READ MORE

Ajali ya Basi Yaua Kagera

BASI la abiria Kampuni ya Fikoshi Investment linayofanya safari zake kati ya Kaisho, Bukoba na jijini Mwanza limepata ajali katika...

READ MORE

Mwandishi wa Uhuru Ajeruhiwa Ajali ya Malori na Gari Dogo

AJALI mbaya imetokea neo la Tabata TOT jijini Dar es Salaam,usiku  wa kuamkia leo baada ya gari dogo lenye namba...

READ MORE

Tanga: Ajali Mbaya Yaua Sita Papo Hapo

WATU watano wamefariki dunia papo hapo na wengine sita kujeruhiwa vibaya, baada ya basi kubwa kugongana na Hiace katika eneo...

READ MORE

Breaking News: Moto Wateketeza Maduka Mbagala – Video

Moto umelipuka na kuteketeza maduka zaidi ya 10 katika maeneo ya Mbagala -Rangi Tatu, Raound About ya kuelekea Charambe, mchana...

READ MORE

Basi la Abiria Laanguka na Kuua

  BASI la abiria mali ya kampuni ya Tahmeed coach linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam kwenda nchini...

READ MORE

Zanzibar: Ndege ya NIT Yaaguka na Kuuwa Marubani

Marubani wawili wamefariki Dunia katika ajali ya ndege wakati wa kurusha ndege baada ya matengezo katika Uwanja wa Ndege wa...

READ MORE

INASIKITISHA! Binti Aliyekatwa Miguu, Amlilia Magufuli – Video

Binti Gladness Fidilish mwenye umri wa miaka 23 mkazi wa Mtaa wa Mji Mwema wilayani Nyamagana mkoani Mwanza, amemuomba Rais...

READ MORE

SIKU CHACHE KABLA YA KUOLEWA, MREMBO ANYONGWA GESTI

  NI tukio la kutisha! Wakati akiwa kwenye mipango kabambe ya kuolewa siku chache zijazo, mrembo aliyetajwa kwa jina la...

READ MORE