×

Tag: Al Ahly

Kombe la Dunia Morocco Ahly na Nguvu ya Wamorocco

  UNAWEZA kusema upepo umebadilika na huenda ndio kilikuwa kitu kilichowashangaza watu wengi baada ya mashabiki wa Morocco kuamua kuishangilia...

READ MORE

Simba Kumrudisha Luis Miquissone Baada ya Kupata Wakati Mgumu Al Ahly

  KLABU ya Simba, ipo kwenye wakati mzuri wa kumrudisha kikosini hapo kiungo mshambuliaji raia wa Msumbiji, Luís Jose Miquissone...

READ MORE

Pitso Mosimane Aitwa Timu ya Taifa ya Afrika Kusini, Rais Adai ni Mtu Maalum

RAIS wa Shirikisho la Soka Afrika CAF na mmiliki wa klabu ya Mamelodi Sundowns Patrice Motsepe, amesema yuko tayari kumlipa...

READ MORE

Bosi Afunguka Luis Kurudi Simba, Adai Wao Kama Uongozi Wanapambana Vilivyo

BAADA ya tetesi nyingi kuzagaa za kiungo mshambuliaji wa zamani wa Simba, Luis Miquissone raia wa Msumbiji kurejea katika timu...

READ MORE

Mosimane na Al Ahly Waachana kwa Makubaliano ya Pande Mbili

KOCHA wa Klabu ya Al Ahly raia wa Afrika Kusini Pitso Mosimane ameachana rasmi na mabingwa wa Misri kwa maubaliano...

READ MORE

Mchezaji Al Ahly Afariki Dunia kwa Sumu

MSHAMBULIAJI wa zamani wa vilabu vya Africa Sports, Esperance na Al Ahly, Oussou Konan amefariki Dunia akiwa na umri wa...

READ MORE

Al Ahly Yavunja Mkataba na Ajayi

MABINGWA wa Afrika wenye historia kubwa katika Soka Barani humo, Al Ahly Sc ya Misri imevunja rasmi mkataba na kiungo...

READ MORE

Mashabiki Al Ahly Wahoji Kiwango cha Miquissone, Pitso Awaka

Kocha wa Al Ahly 🇪🇬 Pitso Mosimane amkingia kifua nyota huyo aliyeng’ara Tanzania 🇹🇿 kwa kiwango bora. Kwenye mkutano na...

READ MORE

Miquissone Aachwa Al Ahly

Kocha wa Mabingwa Afrika, Al Ahly, Pitso Mosimane ametaja kikosi chake kitakachosafiri kuelekea Niger kwa ajili ya mchezo wa klabu...

READ MORE

Simba Kuwashusha Al Ahly Simba Day

HII ni ‘next level’ ndivyo unavyoweza kusema ambapo uongozi wa Simba rasmi umethibitisha kufanya mazungumzo na mabingwa wa Afrika, Klabu...

READ MORE

Miquissone Kubaki Simba? Al Ahly Yampotezea

JARIBIO la Mabingwa wa Klabu Bingwa Barani Afrika, Al Ahly ya Misri 🇪🇬 kupata saini ya Luis Miquissone wa Simba...

READ MORE

Chama Abariki Luis Kujiunga na Al Ahly

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Clatous Chama, amefunguka kuwa atamsapoti mchezaji mwenzake na rafiki yake mkubwa, Luis Miquissone ikiwa nyota huyo...

READ MORE

Miquissone Anasepa, Simba, Al Ahly Wamalizana

TETESI: KLABU ya Simba imekubali ofa ya dola za Marekani 900,000 (zaidi ya Tsh Bilioni 2) kumuuza mshambuliaji wake wa...

READ MORE

Safari Luis Miquissone Yawadia, Akubali Dili la Al Ahly

IMERIPOTIWA kuwa Klabu ya Simba imepokea ofa mbili kutoka Ulaya kwa ajili ya Kiungo mshambuliaji wa kikosi hicho raia wa...

READ MORE

Al Ahly, Kaizer ni Vita ya Wasauzi

Leo ndiyo leo kwani lazima mbabe ajulikane kati ya miamba ya soka Afrika, Kaizer Chiefs dhidi ya Al Ahly ambapo...

READ MORE

Walter Bwalya: Mpango Wangu Kuja Simba

LICHA ya kuwa kwenye mpango wa kuachwa kwenye kikosi cha Al Ahly kutokana na kushindwa kuonyesha kiwango, mshambuliaji wa timu...

READ MORE

Chama, Luis Waongezewa Ulinzi Misri

KUELEKEA mchezo wao wa leo Ijumaa katika Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly, uongozi wa Klabu ya Simba...

READ MORE

Kocha wa Al Ahly Awapongeza Luis na Joash Onyango

BAADA ya kupokea kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Simba, Kocha Mkuu wa Al Ahly, Pitso Mosimane, ameibuka na kutamka...

READ MORE

Kocha wa Al Ahly Aingiwa na Hofu Leo, Bocco Atoa Mbinu

 SIMBA imetamba kuwa kikosi chao kipo fiti na tayari kwa ajili ya kupata pointi tatu katika mchezo wa leo Jumanne...

READ MORE

Straika Tegemeo Ahly aumia Dar

WAKATI joto la mchezo wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Simba na Al Ahly ya...

READ MORE

Rekodi ya Simba Yaivuruga Al Ahly

REKODI ya Simba katika michuano ya kimataifa inapocheza katika uwanja wa nyumbani wa Benjamin Mkapa imeonekana kuibeba zaidi timu hiyo...

READ MORE

Waarabu wa Al Ahly Walia na Joto la Dar

WAPINZANI wa Simba kwenye mechi yao ya kimataifa inayotarajiwa kuchezwa kesho, Uwanja wa Mkapa Al Ahly, Waarabu wa Misri wamesema...

READ MORE

Kagere Awavuruga Waarabu

PENGINEwatu wengi watakuwa wamesahau kidogo kilichotokea Februari 12, 2019 pale Uwanja wa Mkapa jijini Dar, lakini Al Ahly, wana kumbukumbu...

READ MORE

Simba Watangaza Kiama cha Al Ahly ya Misri

KOCHA Mkuu wa Simba, Mfaransa, Didier Gomes, amesema kuwa ushindi walioupata dhidi ya AS Vita umewajengea hali ya kujiamini wachezaji...

READ MORE

Simba Yaitegea Mtego Al Ahly Dar

UONGOZI wa Klabu ya Simba umesema kuwa umejipanga kikamilifu kuhakikisha unafanikiwa kuvuna pointi tatu katika uwanja wa nyumbani dhidi ya...

READ MORE

Simba Yatua Dar Kwa Kishindo Kujiandaa Al Ahly – Video

KIKOSI cha Simba kimewasili salama Jijini Dar es Salaam asubuhi ya Leo Feb 19, 2020 na kwenda moja kwa moja...

READ MORE

Al Ahly Yaitungua El Merreikh 3-0 (Video)

  MABINGWA Watetezi wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika Al Ahly, ambao wapo kundi moja na  Simba SC  wakiwa nyumbani ...

READ MORE

Kocha Simba Awafanyia Sapraizi AS Vita

KOCHA Mkuu wa Simba, Mfaransa, Didier Gomes, amepanga kukifumua kikosi chake kitakachoivaa AS Vita ya DR Congo katika mchezo wao...

READ MORE

Simba Yaifuata AS Vita Kijeshi, Yabeba Maji

KIKOSI cha Simba, kinatarajiwa kuondoka leo Jumanne kuelekea nchini DR Congo tayari kwa mchezo wao wa kwanza wa hatua ya...

READ MORE

Bayern Yatinga Fainali Kombe la Dunia

  Mabingwa wa bara la Ulaya, klabu ya Bayern Munich ya nchini Ujerumani imetinga hatua ya fainali ya michuano ya...

READ MORE

Gkanji: Simba Tutafika Nusu Fainali CAF

KIUNGO mpya wa Simba, Doxa Gkanji, amesema malengo yake ndani ya timu hiyo ni kuisaidia kufi ka mbali katika Ligi...

READ MORE

Wakali Watakowania Tuzo za Karne Duniani, Wamo Al-Ahly

CRISTIANO RONALDO, Lionel Messi, Ronaldinho na Mohamed Salah wanawania tuzo ya mchezaji bora wa karne ya 21 kwenye Tuzo za...

READ MORE

Al-Ahly Yatwaa Taji Ligi ya Mabigwa Afrika

MABINGWA wa kihistoria wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Al-Ahly ya Misri,  jana usiku Novemba 27 wamefanikiwa kutwaa ubingwa wa tisa...

READ MORE

Simba nao wawatese waarabu Taifa, inawezekana

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye michuano ya kimataifa ngazi ya klabu, Simba kesho Jumanne watakuwa pale Uwanja wa Taifa wakitafuta pointi...

READ MORE

CAF Yawazuia Simba Kuwachezesha Saa 8 Mchana

SIMBA walitamani mechi yao dhidi ya Al Ahly ichezwe saa nane mchana kwenye jua kali lakini Caf imewapiga ‘stop’.  ...

READ MORE

Aussems: Naanza Na Al Ahly, Wanafuata Yanga

KUELEKEA mchezo wa watani wa jadi dhidi ya Yanga, Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Aussems amesema kuwa kikosi chake kipo...

READ MORE

Mbelgiji: Al Ahly walitumaliza dakika 45 tu

BAADA ya kupokea kichapo kikali cha mabao 5-0 wakiwa ugenini nchini Misri mbele ya Al Ahly, Kocha Mkuu wa Simba,...

READ MORE

AL AHLY WAPINZANI WA SIMBA, WABABE WA AFRIKA, DUNIA

FEBRUARI 2, mwaka huu utakuwa mtihani mwingine kwa Mbelgiji Patrick Aussems na Simba yake kwani watalazimika kuwafuata wababe Al Ahly...

READ MORE

Winga wa Ajabu Atua Dar

AL AHLY ya Misri inakuja Dar es Salaam wikichache zijazo na mchezaji wa ajabu. Kwa lugha za mtaani unaeza kusema...

READ MORE

Gazeti la Championi latoa tiketi kwa mashabiki Yanga, Al Ahly

Mashabiki wa Timu ya Yanga wakisaidiwa kukata kuponi baada ya kununua Gazeti la Championi Jumamosi ili kushiriki Bahati Nasibu ya...

READ MORE