×

Tag: CHADEMA

MBOWE, Wenzake Wasota Sentro 5, Waachiwa kwa Dhamana -Video

  Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na viongozi wengine watano wa chama hicho wameachiwa kwa...

READ MORE

Mbowe Aongoza Viongozi Chadema Kuripoti ‘Central’

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe na viongozi wengine wa chama hicho leo wamekwenda kuripoti Kituo...

READ MORE

FATUMA KARUME, BOB WANGWE KUISHTAKI SERIKALI

  WAKILI Fatma Karume  na Bob Wangwe  watafungua kesi mahakamani kupinga wakurugenzi kusimamia uchaguzi nchini.   Akizungumza na wanahabari leo,...

READ MORE

BREAKING: MBOWE AISHUTUMU NEC, JESHI LA POLISI

  MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ameishutumu Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuwa walishindwa...

READ MORE

Chadema Kukata Rufaa Kumnasua Sugu Jela

CHAMA cha Demkorasia na Maendeleo (Chadema) kimekusudia kukata rufaa ya kupinga hukumu iliyotolewa leo dhidi ya Mbunge wa Mbeya Mjini,...

READ MORE

Breaking News: Sugu, Masonga Wahukumiwa Jela kwa Kumkashifu JPM

Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyasa, Emmanuel Masonga, wamehukumiwa kifungo cha miezi...

READ MORE

Updates: Hukumu ya Sugu Mahakani Mbeya

Mahakama ya Hakimu Makazi Mbeya leo inatarajia kutoa hukumu ya kesi ya kumkashifu Rais Dkt. Jonh Magufuli inayowakabili Mbunge wa Mbeya...

READ MORE

Polisi Yakiri Kuwashikilia Waliojeruhiwa Kwenye Maandamano ya Chadema

JESHI la Polisi kupitia Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Muliro Jumanne limethibitisha kuwashikilia watuhumiwa watatu wenye majeraha ya...

READ MORE

Kisa Kuwalima Barua Chadema… Tundu Lissu Amvaa Jaji Mtungi

MBUNGE wa Singida Mashariki (CHADEMA), Tundu Lissu amefunguka na kumtaka Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, Jaji Francis Mtungi ajitafakari,...

READ MORE

Polisi Yafunguka Kisa cha Diwani Chadema Kukatwa Mapanga

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Urich Matei amefunguka na kusema kuwa kifo cha Diwani wa Kata ya Nawala tarafa...

READ MORE

Mnyika Awatahadharisha CHADEMA Mauaji ya Kutisha- Video

KAIMU Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika, amewatahadharisha viongozi wa chama hicho na wananchi kuhusu...

READ MORE

Breaking News: Diwani Chadema Auawa Usiku Morogoro

Diwani wa Kata ya Namawala wilayani Kilombero, Godfrey Luena (CHADEMA) ameuawa usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake kwa kukatwakatwa kwa...

READ MORE

Msajili wa Vyama vya Siasa Awaandikia Chadema Barua Kuwata Wajieleze

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amekiandikia barua Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akitaka kujieleza kwa...

READ MORE

CHADEMA YAONYA KUHUSU WALIOSHIKWA KWENYE MAANDAMANO

  MBUNGE  wa Jimbo la Kibamba na Kaimu Katibu Mkuu  wa Chama cha  Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika,  amesema...

READ MORE

Madiwani Wawili Chadema Wajiunga CCM Arusha

MADIWANI wawili wa Chama cha Demokrasia cha Maendeleo (Chadema) mmoja wa kata ya Daraja Mbili,  Prosper Msofe na Diwani wa...

READ MORE

Kifo cha Akwilina; CHADEMA Wamtaka Mwigulu Ajiuzulu – (Video)

Mbunge wa Jimbo la Ubungo (Chadema), Saed Kubenea, akizungumza na waandishi wa habari leo.   CHAMA  cha Demokrasia na Maendeleo...

READ MORE

Mwili wa Daniel John Anayedaiwa Kuuawa Waagwa Dar

  MWILI wa aliyekuwa Katibu wa Chadema Kata ya Hananasif, Daniel John umeagwa nyumbani kwake na kufanyiwa ibada katika Kanisa la...

READ MORE

Viongozi Wanne Chadema Wafika Sentro Kuhojiwa

VIONGOZI wanne kati ya saba wa Chama cha Demokrasia na Maendelo (Chadema) walioitwa na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya...

READ MORE

CCM Yaibuka Kidedea Ubunge Kinondoni na Siha (Videos)

TUME ya Uchaguzi (NEC) imemtangaza Maulid Mtulia wa Chama cha Mapinduzi(CCM) kuwa mshindi wa uchaguzi mdogo wa Ubunge, Jimbo la...

READ MORE

Tamko la CHADEMA Kuhusu Kuyakataa Matokeo ya Uchaguzi wa Marudio

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Vicent Mashinji imeeleza kuwa baada ya upigaji wa kura katika uchaguzi kumalizika...

READ MORE

CCM Yaitupia Lawama Chadema Zoezi la Uchaguzi

Tamko la Chama Cha Mapinduzi (CCM) likilaani CHADEMA kuwa chanzo cha vurugu zilizojitokea kwenye chaguzi. CCM imesema ukaidi wa CHADEMA...

READ MORE

SALUM MWALIMU: NIPO TAYARI KWENDA JELA YOYOTE

MGOMBEA Ubunge wa jimbo la Kinondoni, Salum Mwalimu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA), amesema yupo tayari kuitwa...

READ MORE

CHADEMA WALALAMIKA BAADHI YA MAWAKALA WAO KUZUILIWA VITUONI

CHAMA cha Demokrasia na Maendelo (Chadema), kimezungumza kuhusu zoezi la uchaguzi mdogo unaoendelea katika majimbo ya Kinondoni Dar es Salaam...

READ MORE

Mgombea Ubunge CCM, Maulid Mtulia Akipiga Kura Yake – (Video)

Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Maulid Mtulia, amepiga kura asubuhi hii ya Feb....

READ MORE

NEC YAJIBU HOJA 6 ZA CHADEMA

  Jana 15/02/2018 baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiongozwa na Mwenyekiti wa Taifa Freeman Mbowe,...

READ MORE

Chadema Yakanusha Kususia Uchaguzi Kesho

CHAMA cha Demaokrasia na Maendeleo (Chadema) kimekanusha taarifa inayosambaa mitandaoni kuwa wamejitoa kwenye uchaguzi mdogo wa ubunge kwa majimbo ya...

READ MORE

Kiongozi CHADEMA Auawa, Mbowe Asimulia Alivyotekwa, Mwili Wake Waokotwa Ufukweni

  MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe amesema kiongozi wa chama hicho katika Kata ya Hananasif, Daniel John amefariki dunia katika...

READ MORE

Diwani Mwingine Chadema Atimkia CCM

DIWANI wa Kata ya Hayderer (Chadema) wilayani Mbulu mkoani Manyara, Justin Masuja amejiuzulu nafasi hiyo na kujiunga na Chama Cha...

READ MORE

Siku 3 za Kufa na Kupona Chadema vs CCM

  NI siku 3 za kufa na kupona za kampeni za uchaguzi mdogo Jimbo la Kinondoni na Siha zinazotarajiwa kumalizika...

READ MORE

Breaking News: Tambwe Hizza wa Chadema Afariki Dunia

KADA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)  Tambwe Hizza, amefariki dunia leo asubuhi nyumbani kwake akiwa amelala, msemaji wa...

READ MORE

Mlinga: ‘Maprofesa wa Tanzania Wana Matatizo Gani’?

  MBUNGE wa Ulanga mkoani Morogoro, Goodluck Mlinga (CCM) amemvaa Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekonolojia, Prof. Joyce Ndalichako akidai...

READ MORE

Chadema Yalaani Kutekwa Mgombea Udiwani Muleba

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimelaani kitendo cha mwanachama wake, Athanas  Makoti, ambaye ni mgombea udiwani katika kata...

READ MORE

Chadema Hawamwamini Msimamizi Uchaguzi Kinondoni (Video)

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo wamesema hawana imani na msimamizi wa uchaguzi jimbola Kinondoni wakidai kuna njama zilizopangwa...

READ MORE

Nassari Kortini kwa Tuhuma za Kumpiga Diwani

Mbunge wa Arumeru Mashariki kwa tiketi ya CHADEMA, Joshua Nassari leo Februari 6, 2018 amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya...

READ MORE

Chadema Wapigwa Barua Uchaguzi Kinondoni – Video

Wakati kampeni za uchaguzi jimbo la Kinondoni zikiendelea, Chadema wamepewa barua mbili za malalamiko na msimamizi wa uchaguzi Wilaya ya...

READ MORE

Kwenye Kampeni, Tuepuke Kauli Mbaya,Uchochezi

KWANZA kabisa naomba mimi na wewe msomaji wangu tumshukuru Mungu kwa kutufanya leo tuwe tunapumua. Mimi nina afya njema hakika...

READ MORE

BREAKING: Dkt. Malisa Awalipua CHADEMA, CCM Uchaguzi Kinondoni – Video

  MGOMBEA Ubunge katika Jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya TLP, Dkt. Godfrey Malisa amewataka wananchi wa wa Jimbo hilo...

READ MORE

Lowassa, Mbowe, Sumaye Wamuombea Kura Mwalimu

VIONGOZI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ngazi ya Taifa wakiongozwa na mwenyekiti wao, Freeman Mbowe wamemuombea ridhaa ya...

READ MORE

Msigwa Kortini kwa Tuhuma za Kuchoma Nyumba ya Kiongozi UVCCM

MBUNGE wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa (CHADEMA) na wenzake 12 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Iringa na kusomewa...

READ MORE