Ohooo! Pisi Kali za Mbagala Zashambulia Jukwaa la Zuchu – Video
				FIRST Lady wa Lebo ya WCB inayomilikiwa na Diamond Platnumz, Zuchu ameandika historia mpya baada ya kupiga bonge la shoo katika Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala Zakhiem jijini Dar es Salaam ikiwa ni shoo yake ya…			
				 
			