×

Tag: Diamond

Simi Aitamani Ndoa Ya Zuchu, Diamond

STAA wa muziki wa Afro – R&B nchini Nigeria, Simisola Kosoko a.k.a Simi amefunguka kuwa, anatamani kuwaona mastaa wa Bongo...

READ MORE

Diamond Aahidi Makubwa Tena

MSANII wa bongo Fleva na Mmiliki wa lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Nasib Abdul ‘Diamond’ ambaye mwanzoni mwa mwaka...

READ MORE

Tiffah Awafunika Mastaa Bongo

TAFUTENI pesa siyo majungu! Ndivyo unavyoweza kusema unapomzungumzia mtoto wa staa mkubwa wa muziki Bongo na bosi wa lebo ya...

READ MORE

Tuzo za Grammy Zaibua Vurugu Wasafi!

DAR: Kitendo cha mastaa watatu kutoka Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB) wakiongozwa na bosi wao, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’,...

READ MORE

Mobetto: Diamond Alitaka Tupime DNA kwa Mtoto ‘Majibu Haya Hapa’

MSANII wa muziki na Uigizaji hamisa mobetto amethibitisha tetesi za mzazi mwenza wake Diamond Platnumz, Hamisa Mobetto kuchukua vipimo vya...

READ MORE

Mondi Mfalme wa Kukopi na Kupesti?

MUZIKI mzuri hutengenezwa na ubunifu, ambao utaifanya kazi ya msanii kuishi miaka mingi na kusikilizwa au kutazamwa na vizazi vyote...

READ MORE

Shabiki Amvamia Mondi Uwanja wa Mkapa – Video

MSANII Nguli, Diamond Platnumz, leo Oktoba 9, ametumbuiza mbele ya mgombea Urais, Dkt Magufuli, kwenye kampeni za CCM Uwanja wa...

READ MORE

EXCLUSIVE: Mondi Afunguka Kashfa Kutumiwa na CCM – Video

  MSANII wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amefunguka ukweli kuhusu wasanii wengi kutimkia kwenye kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM)...

READ MORE

Marioo Amuacha Mondi Aruke na Mimi Mars!

DAR: Staa wa Bongo Fleva anayefanya poa kwa sasa, Omari Mwanga ‘Marioo’, amekubali kumuachia kinara wa muziki nchini Tanzania, Nasibu...

READ MORE

Diamond Hakamatiki, Grammy Wamvulia Kofia

VICHWA vya habari vikubwa vimezidi kumfuata staa wa muziki  Tanzania na Barani Afrika kwa jumla, Diamond Platnumz, baada ya kufanyiwa...

READ MORE

Kiba Apewa Silaha Kumkabili Mondi

BAADA ya kuibuka kwa vuta ni’kuvute mpya kati ya mastaa wakubwa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ na...

READ MORE

Mondi Ampotezea Kiba

Baada ya Alikiba kutoa wimbo wa Vijembe kwa Diamond wengi waliupokea vibaya ikiwemo Mashabiki zake ambao hawajamzoea Alikiba wa aina...

READ MORE

Marekani Yampa Shavu Mondi

HUJATAJWAhata na mkuu wa mkoa, msanii unavimba kichwa! Sikia hii: “Serikali ya Marekani yampa shavu msanii Diamond au muite Nasibu...

READ MORE

Baada ya Mondi Kutangaza Kumzimia Mimi Mars, Zuchu Hapatoshi!

KITENDO cha mwanamuziki kinara wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, kuweka wazi hisia zake za kimapenzi kwamba, anamzimia kinoma...

READ MORE

Haijawahi Kutokea! Zuchu Aweka Rekodi ya Ajabu WCB

ANAWAKERA eeeh? Mchawi wa Zuhura Othman Soud almaarufu ‘Zuchu’ si mwingine, bali ni namba ambazo zinamfanya aweke rekodi ya ajabu...

READ MORE

Usichokijua Kuhusu Kolabo ya Mondi na Alicia Keys

IJUMAA iliyopita haikuwa siku ya hivihivi tu kwenye Bongo Fleva na muziki wa Afrika kwa ujumla. Ni siku ilipoandikwa historia...

READ MORE

Swizz Beatz, Alicia Keys Wampa Kazi Mondi

MTAYARISHAJI  nyota wa muziki nchini Marekani, Swizz Beatz, amejitokeza na kueleza juu ya alichofanya mwanamuziki maarufu wa Tanzania, Diamond Platnumz,...

READ MORE

Diamond Amfungukia Mimi Mars ‘Nakapendaga Sana Haka Katoto’

STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, ameamua kuanika hisia zake kwa msanii mwenzake, Mimi Mars, kupitia ukurasa wa...

READ MORE

Mondi Ampongeza Alicia Keys Kumshirikisha Albamu Yake

    MWANAMUZIKI staa wa Bongo Fleva nchini, Diamond Platnumz, amemtumia ujumbe wa kumpongeza mwanamuziki  wa Marekani, Alicia Keys, kutokana...

READ MORE

Mashabiki: Mondi, Zuchu Waoane Tu Yaishe

BORA waoane tu yaishe! Ndivyo wanavyosema mamilioni ya mashabiki wa mwanamuziki mkubwa barani Afrika, Nasibu abdul ‘Diamond Platnumz’ wakimtaka jamaa...

READ MORE

Mastaa Hawa ni Chui na Paka

KWENYE muziki, ni kama ilivyo kwenye maisha ya kawaida, kuna baadhi ya wasanii wao wamejikuta kutokana na sababu zao, hawapikiki...

READ MORE

Mondi Kuvuna Mamilioni Mbele ya Rick Ross na Chris Brown

SUPASTAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ anatarajia kuvuna mamilioni kama yote katika shoo maarufu kwa jina la AfroNation....

READ MORE

Mobeto: Mondi Ni Wangu Milele

VIPI aongeze sauti? Hamisa Mobeto ndiyo ameshasema kwamba, Nasibu Abdul ‘Diamond’ au Mondi, ni wake wa milele.   Akipiga stori...

READ MORE

Magufuli Avua Kofia Hadharani, Amvisha Mondi – Video

MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John  Magufuli ameshindwa kujizuia...

READ MORE

Mondi, Harmo Waiteka Nigeria!

BURUDANI ya muziki ni sehemu inayofuatiliwa na wengi duniani kwa sababu ni kitu ambacho kinaleta furaha kwa watu hata kwenye...

READ MORE

Kwa Mamilioni Haya, Mondi Katoboa

NASIBU Abdul almaarufu kama Diamond Platnumz, amekuwa ni nembo ambayo inatangaza vizuri muziki wetu kwa hapa Afrika.   Katika burudani,...

READ MORE

Magari ya Mondi Yazua Jambo

WANANZENGO sio watu wazuri! Wakati ikiaminika ‘yadi’ ya msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ au Mondi imesheheni magari...

READ MORE

S2Kizzy Aanika Ugumu Kufanya Kazi na Mondi!

KWENYE kundi la watayarishaji wa muziki (producers) Bongo na wenye ubunifu na kipaji cha hali ya juu, huwezi kumwacha Zombie....

READ MORE

Baba Abariki ndoa ya Mondi na Zuchu!

LICHA ya miluzi kupigwa mingi na kubaki kuwa kitendawili kisichokuwa na majibu juu ya binti atakayeolewa na staa wa Bongo...

READ MORE

Mchumba wa Mondi, Binti wa Tajiri Mkubwa Rwanda Aibuliwa!

Baada ya mwanamuziki mkubwa barani Afrika, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kutangaza kufunga ndoa Oktoba 2, mwaka huu, kitendawili kikubwa kimekuwa...

READ MORE

Ukaribu wa Diamond, Zuchu Kuna Usalama Kweli?

MWAKA 1988, mwanamuziki nyota nchini Marekani, Mariah Carey, alikutana na bosi wa lebo ya Sony Music, Tommy Mottola, ndani ya...

READ MORE

Wema: Jamani Anayeolewa na Mondi Siyo Mimi!

STAA kiwango wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu, ameweka wazi na kuvunja minong’ono kwamba, huwenda yeye ndiye mtarajiwa wa mwanamuziki...

READ MORE

Video: DIAMOND, BOBO, Washindana KUMWAGA PESA Kwenye HARUSI Ya ESMA

 Dada wa Diamond, Esma Platnumz, Esma Khan na mumewe Msizwa, wamefanya tena sherehe ya harusi yao usiku wa kuamkia...

READ MORE

Mondi Arudishwa kwa Tanasha!

MWONEKANO mpya wa mzazi mwenza wa na mwanamuziki mkubwa barani Afrika, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha Donna umewatoa wengi udenda...

READ MORE

Exclusive: Mama D Apasua Jipu Mrembo wa Mondi

Mama wa mwanamuziki maarufu  wa Afro Pop ndani na nje ya nchi, Nasibu Abdul ‘Diamond Platiumuz’ Sanura Kassim ‘Mama Dangote’...

READ MORE

Maisha Mapya ya Kiba, Mondi!

  DAR: Yaliyopita si ndwele, tugange yajayo! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mastaa wawili ndani ya Bongo Fleva; Nasibu Abdul ‘Diamond...

READ MORE

Buti la Jeje Linavyotrendi Mjini!

KARIBU mpenzi msomaji wa safu hii pendwa ya FASHENI. Wiki hii ninakuletea fasheni ya viatu vikubwa ambavyo vinaweza kuwa ni...

READ MORE